US Singer & Actress Whitney Houston Dies Aged 48

Pole sana kwa Bobbi Kristina, pole kwa familia yake na pole fans wake wote. Will always love you.
 
Drugs noma! Alikongoroka akaishiwa kabisa hata nguvu ya kufungua mdomo kuimba akawa hana.
 

1987: Houston on set of the music video for I Wanna Dance with Somebody
 

1987: Houston holds her award for best female pop vocal performance at the Grammy awards
 

1988: Elizabeth Taylor, Liza Minnelli, Michael Jackson and Whitney Houston at a charity dinner in New York
 
Wit…, Whitn.. Jamani Whitney Houston ametutoka hivi hivi. Hakika nimeguswa sana na kifo cha mwanamuziki nguli duniani Whitney, kilichotokea kwenye chumba cha Hilton Hotel huko Marekani. Jina la mwanamuziki huyo sio geni miongoni wa wapenzi na washabiki wa muziki. Najua wengi watamsema vibaya kutokana na tabia ya kubwia madawa ya kulevya, lakini kwa sasa sio wakati wake. Nitamkumbuka daima Whitney kwa vibao vyake murua.

R.I.P Whitney……………!!!:shock:
 

1995: Loretta Devine, Houston, Angela Bassett and Lela Rochon in Waiting To Exhale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…