IT MIGHT BE DRAG
STERESS
SHE WAS
BANCRAPT
SIJUI KM SPELLING ZA
MWISHO HAPO NIMEPATIA
ILA NIREKEBISHE IF IM WRONG THE B!!
duuuu nilikuwa
mmoja wa mashabiki wake
nimeshtuka sana
nliposkia leo asbuh
she has died
im in deep pain
kama the wacko
alivyotutoka!
rip whitney ...nyimbo zako zilinisaidia domo zege miye kumpata mama watoto wangu...
lugha gongana mtani wangu...
mtani nethi namburi avae... Mama taska hanywi hivyo nyimbo za whitney nilizitumia kuchana mistari...
Kwa mujibu wa CNN, mwamba huyu wa muziki laini ametutoka, tutumie thread hii kujikumbusha mipini yake na maisha yake kwa ujumla, i will always love you ofcourse is everyone's favorite.
She was 48 yrs old, all her fans, as one of them we'll always miss her...!