US Singer & Actress Whitney Houston Dies Aged 48

May be the police can start there investigation firstly by questioning her doctor
 
hii kitu ni kweli au?

Ni kweli nimesikia toka idhaa ya kiswahili ya ujerumani.

Wapenzi wa muziki laini tumeondokewa na jembe.

safari njema Witney, sauti yako itabakia masikioni mwetu.
 


Vibao vyote hivyo hapo juu vimetulia mkuu!

Pia aliimba nyimbo hizi:

After We Make Love,
All At Once,
All The Man That I Want,
America The Beautful,
Call You Tonight,
Count On me,
Exhale,
Hold,
I Belong to You,
I AM VERY WOMAN,
Jesus Loves Me,
One Moment in Time etc.

RIP Whitney!!!!!
 

dah yan i mre dan lovd dic song ..r i p whtney
 
Dah, nasikitika sana. Now days music industry imekuwa ruled na Auto-Tune. She was the only one who likes and respect her natural voice. R.I.P. Jah bless. One day we'll meet.
 
Wengi wanamsema kumuhusisha na madawa, but wanasahau we are humans, we are mortals and we makes mistake. R.i.p pretty girl. One day we'll meet. Auto-Tuners wamejaa sana kwenye mziki ila yeye hakupenda effects za computer kwenye sauti yake. So great.
 
RIP love!..Best voice ever!..
I feel sorry for her daughter, what a pain!!
 

kazi ya mods hiyo
 
Jamani kabla post please make sure kama hii kitu already posted. We have around 3 or 4 thread of the same issue.
 

Whitney Houston sings "That's What Friends Are For" with Dionne Warwick at Clive Davis' pre-Grammy party in 2011. (Gina Ferazzi, Los Angeles Times / February 12, 2010)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…