US to review relationship with Uganda following enactment of Anti-gay law

US to review relationship with Uganda following enactment of Anti-gay law

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
The United States has began an internal review of its relationship with the government of Uganda following the signing into law a Bill outlawing homosexuality in the East African nation.

In a press release from the State Department in Washington DC Monday, US Secretary of State John Kerry said President Obama’s government would ensure any engagement with Uganda would reflect the anti-discrimination policies supported by his government.

“Now that this law has been enacted, we are beginning an internal review of our relationship with the Government of Uganda to ensure that all dimensions of our engagement, including assistance programs, uphold our anti-discrimination policies and principles and reflect our values,” said Kerry in a Statement emailed to the Daily Nation.

Mr Kerry termed the enactment of the controversial law as retrogressive and called for its repeal. “This is a tragic day for Uganda and for all who care about the cause of human rights. Ultimately, the only answer is repeal of this law,” he said.

The statement was in reference to the signing of the Anti-Homosexuality bill by President Yoweri Museveni of Uganda on Monday.

source: US to review relationship with Uganda following enactment of Anti-gay law
 
Hivi hawa jamaa wamegeuza waafrika wote ni makenge tu hatuna akili wala utashi? Mbona wao wanaendelea kuendesha jela ya Guantanamo pamoja na jumuiya ya kimataifa kuipinga? Au hili la kuwauwa watu kwenye nchi za kigeni kwa kutumia drones bila kufuata mfumo unaoeleweka wa sheria, yaani bila kuwapa watuhumiwa haki ya kujitetea, mbona linafanywa na wamarekani kinyume na haki za binadamu. Kwa hiyo kwao wao haki wanayoi-mind saana ni ya wanaume kugeuzwa kuwa wanawake? p.u.m......v.u.
 
hivi hawa jamaa wamegeuza waafrika wote ni makenge tu hatuna akili wala utashi? Mbona wao wanaendelea kuendesha jela ya guantanamo pamoja na jumuiya ya kimataifa kuipinga? Au hili la kuwauwa watu kwenye nchi za kigeni kwa kutumia drones bila kufuata mfumo unaoeleweka wa sheria, yaani bila kuwapa watuhumiwa haki ya kujitetea, mbona linafanywa na wamarekani kinyume na haki za binadamu. Kwa hiyo kwao wao haki wanayoi-mind saana ni ya wanaume kugeuzwa kuwa wanawake? P.u.m......v.u.
inauma sana wanavyotuendesha na kutuchagulia ya kufanya
 
Hivi hawa wamarekani vip mbona haya mambo hawalazimishi kwa nchi za Asia kama Saudia, China na zinginezo, me nadhani umefika wakati muafaka kwa nchi za kiafrika kukomaa na misimamo yao na kuachana huo upuuzi wa Marekani na washirika wake kama ni uhusiano wa kiuchumi tunaweza elekeza nguvu zetu kwa nchi kama China, urusi au nyinginezo so Marekani wasitake kulazimisha mambo yao yafanyike Afrika huo kwangu mimi ni Upuuzi tu.
 
museven_akisaini_mswada_wa_kupinga_ushoga_ba6b6.jpg

Rais Yoweri Museveni wa Uganda akisaini mswada wa sheria ya kupiga marufuku ushoga, hapo jana jijini Entebbe, jambo lililoikasirisha Marekani. Picha kwa hisani ya AFP


SERIKALI ya Marekani imeanza mchakato wa kuupitia upya uhusiano wake na Uganda, taifa la Afrika Mashariki baada ya rais wa nchi hiyo kutia saini mswada unaoharamisha vitendo vyote vya kishoga nchini humo. Hapo jana, jijini Entebbe, rais wa Uganda aliweka saini katika msaada huo ili kuwa sheria rasmi ya Uganda. Kitendo hicho kimelalamikiwa sana na mataifa ya Marekani na Uingereza kwa madai kinakiuka haki za kibinadamu.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa taarifa kupitia kwa waziri wake, John Kerry ikieleza kuwa serikali ya rais Barack Obama itahakikisha uhusiano wake na Uganda unazingatia sera yake ya kuzuia unyanyasaji wa aina yoyote.Katika taarifa hiyo iliyotumwa kwa barua-pepe kwenda kwenye gazeti la Daily Nation la Kenya, Kerry amesema, "Kwa kuwa sasa hii sheria imekwishapitishwa, tunaanza mchakato wa ndani kuhusiana na uhusiano wetu na Serikali ya Uganda ili kuhakikisha namna zote za mahusiano yetu, ikijumuisha misaada ya kimaendeleo zinaakisi dhima yetu ya kuondoa unyanyasaji na ubaguzi.

"Waziri huyo wa mashauri ya kigeni wa Marekani amepigia chapuo kufutwa kwa sheria hiyo. "Hii ni siku ya msiba mkubwa kwa Uganda na wote wanaojali kuhusu haki za kibindamu. Kimsingi, suluhisho pekee ni kufutwa kwa sheria hii."Hapo jana, rais Museveni ameweka sahihi katika sheria hiyo ambayo inafanya vitendo vyote vya ushoga kuwa haramu nchini Uganda. Kuwekwa sahihi kwa sheria hiyo kumewagutua Marekani, Uingereza na jumuiya zingine zinazopigia debe mashoga kupewa haki.

Tayari rais Barack Obama ametoa taarifa kupitia kwa katibu wake kuwa, "rais wa Uganda amefanya kitendo kichachostahili kujutiwa kwa kuwa ameirudisha nchi yake nyuma badala ya kusimamia uhuru na haki sawa kwa watu wake."Kerry, katika taarifa yake ameeleza wazi kuwa Marekani imekuwa ikiupinga mswada huo toka ulipofahamika miaka minne iliyopita. Ameeleza zaidi kuwa sheria hiyo inakinzana na uwepo wa Tume ya Haki za Binadamu ambayo ipo kwa mujibu wa katiba ya Uganda."Kutoka Nigeria hadi Russia na Uganda, tunafanya kazi ulimwengu mzima kuhamasisha na kulinda haki za kibidamu kwa watu wote.

Marekani itaendelea kusimama imara dhidi ya jitihada zozote kuwatenga, kuwaharamisha na kuwaadhibu wahanga wowote wake katika jamii yoyote ile." Alisema Kerry.Kitendo hicho cha Museveni kimeibua hisia kali kutoka kwa baadhi ya taasisi za kimataifa ikiwemo makao makuu Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani. Tayari Katibu Mkuu Ban Ki-moon ameeleza azma yake ya kulijadili jambo hilo la kupinga ushoga pindi atakapokutana na balozi wa Uganda katika Umoja wa Mataifa

Source:Mjemgwa blog
 
Mchague njaa then mtwangane wenyewe kwa wenyewe or leave gays alone.
 
Wao kama walishindwa kukomesha useng.e ngoja sisi Waafrika tuwaoneshe kuwa viongozi wetu wanaweza...
 
Nadhani ni wakati sasa nchi zote za kiafrika ziweke msimamo wake kwenye hii kadhia ya ushoga. Wote kwa pamoja tupitishe sheria ya kupinga hii kitu wazi wazi kwenye jumuiya ya kimataifa.

Hapa kwetu bongo sijui tuko upande gani..kuna wachambuzi ea katiba wanadai katiba mpya ina vipengele vipya 11 vinavyotetea haki za binadamu! Wajumbe wa katiba wanakazi kubwa ya kuvipitia na kuvichambua kwa undani na si kupiga porojo za posho tu.
 
Tunatambua kuwa Marekani ni Taifa kubwa lakini nadhani ni wakati muafaka kwa mataifa ya Afrika kusimama pamoja na kukomaa kuupinga ushoga hawa jamaa wasitupelekeshe as if si hatuna utamaduni na maadili yetu, na kama Afrika nzima ikisimama pamoja tutashuhudia kama marekani anaweza kusitisha uhusiano wake kwa mataifa yote ya Afrika, na kama itatokea hvyo basi hapo ndipo Afrika isimame pamoja kuimalisha uchumi wake mwenyewe na kuweza kushirikiana na nchi nyingine za masharika kama Russia na Uchina. Kisha kuwaacha hao wamarekani waendele kuusuport ushoga.
 
1000x60519.jpg
Defiant: President Yoweri Museveni signs an anti-homosexual bill into law (Picture: Reuters)

Ugandan president Yoweri Museveni has signed into law a bill that toughens penalties against gay people and defines some homosexual acts as crimes punishable by life in prison.

And with that the United States has begun an internal review of its relationship with the government of Uganda following the signing into law of the bill.


In a press release us secretary of state John Kerry said president Obama's government would ensure any engagement with Uganda would reflect the anti-discrimination policies supported by his government.

Via KTN http://www.ktnkenya.tv/live

Bonyeza Vidio
US reacts to Uganda anti-gay bill - YouTube
 
Yafaa obama au Kerry waoe au waolewe na wanaume wenzao kama mfano
 
Kwani Africa hatuwezi kuishi bila ya Obama??!..

Hongera M7, Bado zamu ya Jakaya
 
Sheria pekee haitaweza kuondoa ushoga, lazima wazazi wawafunze watoto wao madhara ya ushoga na wawasimamie kuona kama kweli watoto hawana hizi tabia.
Serikali za Afrika lazima zinunue vyombo vitakavyoweza kusimamia na kukagua habari za kwenye mitandao kwani huko ndo vijana wanajifunza upuuzi mwingi.


1000x60519.jpg
Defiant: President Yoweri Museveni signs an anti-homosexual bill into law (Picture: Reuters)

Ugandan president Yoweri Museveni has signed into law a bill that toughens penalties against gay people and defines some homosexual acts as crimes punishable by life in prison.

And with that the United States has begun an internal review of its relationship with the government of Uganda following the signing into law of the bill.


In a press release us secretary of state John Kerry said president Obama's government would ensure any engagement with Uganda would reflect the anti-discrimination policies supported by his government.

Via KTNhttp://www.ktnkenya.tv/live

Bonyeza Vidio
US reacts to Uganda anti-gay bill - YouTube
 
Jamani mnatakiwa kushtuka.Tatizo la Uganda halijawahi kuwa ni ushoga.M7 ni dikteta muuaji na mkandamizaji wa demokrasia.Angalia anavyomtenda Besigye na Meya Wa Kampala.Ameleta hii hoja ku-divert attention ya unyama wake ili apate support ya waaafrika wengi.Sawa.Muambieni arudishe katika katiba kipengele cha ukomo wa urais,aruhusu uhuru wa kisiasa na aache kuwaunga mkono waasi huko drc.Ushoga sio issue wala haijawahi kuwa issue ya msingi Uganda wala Africa.
 
Jamani mnatakiwa kushtuka.Tatizo la Uganda halijawahi kuwa ni ushoga.M7 ni dikteta muuaji na mkandamizaji wa demokrasia.Angalia anavyomtenda Besigye na Meya Wa Kampala.Ameleta hii hoja ku-divert attention ya unyama wake ili apate support ya waaafrika wengi.Sawa.Muambieni arudishe katika katiba kipengele cha ukomo wa urais,aruhusu uhuru wa kisiasa na aache kuwaunga mkono waasi huko drc.Ushoga sio issue wala haijawahi kuwa issue ya msingi Uganda wala Africa.

Ni watanzania wachache wenye uwezo wa kuona uhalisi wa jambo bila mihemko! Asanta mkuu pokea Like!
 
Back
Top Bottom