Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ccm mbona hamna ,mmebaki na wale kindakindaki wa uwi ....,wa, shida Sana, yupo mtumishi mmoja kwenye familia, ila atake au asitake ataondoka hukoChadema wataitisha press kutu-brief. Chama la wana!
Kwa kukutana nao tu ni statement kubwa kwa serikali.Chadema wataitisha press kutu-brief. Chama la wana!
Sirro a.k.a 0 brain anazidi kujiabishaView attachment 1880210
Kigogo wa Serikali ya Marekani aliyeingia nchini na kukutana na Mama Samia, ameonana vile vile na wapinzani.
Under Secretary of State Victoria Nuland wa Marekani, kigogo wa ngazi za juu wizara ya mambo ya nje , ameonana na kuongea na Mnyika wa CHADEMA na Zito wa ACT Wazalendo leo 4/08/2021.
Sijui wameongea nini?
Mwambieni msajili wenu aifuteMambo ya usalama wa ndani ya nchi yatabaki kuwa ya nchi.
Tanzania is a sovereign coutry.
ila Chadema hakikufaa kabisaa kuwa chama cha upinzani nchini Tanzania kwa tabia ya mara kwa mara wanayo ionyesha inapo tokea jambo lolote basi wanaenda kuichongea Tanzania kwa mataifa makubwa.
Tunaomba viongozi wetu wasiyumbe kabisa, wawe imara kusimamia sheria za nchi.
Mbona kwenye heading hujamtaja Propesa Lipumbavu?View attachment 1880210
Kigogo wa Serikali ya Marekani aliyeingia nchini na kukutana na Mama Samia, ameonana vile vile na wapinzani.
Under Secretary of State Victoria Nuland wa Marekani, kigogo wa ngazi za juu wizara ya mambo ya nje , ameonana na kuongea na Mnyika wa CHADEMA na Zito wa ACT Wazalendo leo 4/08/2021.
Sijui wameongea nini?
Mambo ya usalama wa ndani ya nchi yatabaki kuwa ya nchi.
Tanzania is a sovereign coutry.
ila Chadema hakikufaa kabisaa kuwa chama cha upinzani nchini Tanzania kwa tabia ya mara kwa mara wanayo ionyesha inapo tokea jambo lolote basi wanaenda kuichongea Tanzania kwa mataifa makubwa.
Tunaomba viongozi wetu wasiyumbe kabisa, wawe imara kusimamia sheria za nchi.
Hivi wewe Kila siku eti Tanzania ni sovereign state unapoandika huwa umebana pua au mata** WAKATI uhuru wenyewe mlipewa Kama maandazi unanikera Sana na kauli yako hii inayoonyesha uelewa wako mdogoMambo ya usalama wa ndani ya nchi yatabaki kuwa ya nchi.
Tanzania is a sovereign coutry.
ila Chadema hakikufaa kabisaa kuwa chama cha upinzani nchini Tanzania kwa tabia ya mara kwa mara wanayo ionyesha inapo tokea jambo lolote basi wanaenda kuichongea Tanzania kwa mataifa makubwa.
Tunaomba viongozi wetu wasiyumbe kabisa, wawe imara kusimamia sheria za nchi.
Mkuu wewe umejazwa ujinga wa kutofikiri.Mambo ya usalama wa ndani ya nchi yatabaki kuwa ya nchi.
Tanzania is a sovereign coutry.
ila Chadema hakikufaa kabisaa kuwa chama cha upinzani nchini Tanzania kwa tabia ya mara kwa mara wanayo ionyesha inapo tokea jambo lolote basi wanaenda kuichongea Tanzania kwa mataifa makubwa wakitegemea Viongozi wetu wataogopa!! thubutu!!!! kamwe tusivumilie tabia hii ya kizandiki!!! labda wakafanye siasa zao Burundi lkn sio Tz..
Tunaomba viongozi wetu wasiyumbe kabisa, wawe imara kusimamia sheria za nchi.
Demokrasia sio kuvunja amani.
Unaaumia ukiwa wapi?Hi
Hivi wewe Kila siku eti Tanzania ni sovereign state unapoandika huwa umebana pua au mata** WAKATI uhuru wenyewe mlipewa Kama maandazi unanikera Sana na kauli yako hii inayoonyesha uelewa wako mdogo
wacha kuchanganya habari, tatizo hapa sio katiba mpya, Rais alikuwa muwazi kabisa na aliweka msimamo wake kama kiongozi wa nchi, kwa maana hiyo hakuna sababu ya kuunganisha tuhuma zinazo mkabili Mbowe na Madai ya katiba.Mkuu wewe umejazwa ujinga wa kutofikiri.
Katiba haijabadilishwa, na kutoka vyama vya upinzani kuna akili nzuri tu mbadala.
Ukibaki na akili za kijijnga ndio hapa tulipofika.
Pls note, Under Secretary hakuonana na Katibu Mkuu wa CCM.
Mwanzo mzuri!View attachment 1880210
Kigogo wa Serikali ya Marekani aliyeingia nchini na kukutana na Mama Samia, ameonana vile vile na wapinzani.
Under Secretary of State Victoria Nuland wa Marekani, kigogo wa ngazi za juu wizara ya mambo ya nje , ameonana na kuongea na Mnyika wa CHADEMA na Zito wa ACT Wazalendo leo 4/08/2021.
Sijui wameongea nini?
Hamna sovereign ya kiwango hicho unachofikiria hebu jiulize katambi anaweza kwenda USA na akakutana na viongozi wakuu wa upinzani ghafla ghafla Kama ilivyotokea Tanzania Jana?Unaaumia ukiwa wapi?
Mkenya mkubwa wewe, Kwa hiyo kama tulipewa uhuru unatakaje?
Tuhuma za Ugaidi wa mwaka Jana Tena kipindi Cha nduli mlimuacha mbowe bila kumkamata ila mnakuja kumkamata usiku wa kuamkia kongamano la katiba mpya, ndio maana tumasema ccm wamejaa wakina siro|ziro wengi Sana hata mbinu zenu ni za kitoto kabisa Sasa angalieni mnavyokwenda kuaibika kesho,wacha kuchanganya habari, tatizo hapa sio katiba mpya, Rais alikuwa muwazi kabisa na aliweka msimamo wake kama kiongozi wa nchi, kwa maana hiyo hakuna sababu ya kuunganisha tuhuma zinazo mkabili Mbowe na Madai ya katiba.
tuhuma za mbowe zimefikishwa mbele ya mahakama hivyo hatakiwi mtu yeyote kuingilia majukumu ya mahakama.
Hakuna uhusiano wowote kati ya Ugaidi wa Mbowe na madai ya Katiba, ila viongozi wa chadema kwa makusudi wanapotosha uma na dunia kwa masilahi yao, hili halikubaliki.
kama nchi tusikubali upotoshaji na uchafuzi unao fanywa na viongozi na wanaharakati wa chadema.