US waitishia ICC kuwa hakuna kumkamata Netanyahu

Wewe punguani huu uharo waambie mapuani wenzako hao mkiwa na walokole wenzako huko mndanganyana siku ingine usijaribu kuniandikia huu uharo wako.
Huo ndio ukweli na bado nitausisitiza tena na tena. Waarabu wamekuwa wakikimbia sheria za kipumbavu na kuzamia katika nchi za magharibi ili kutafuta kuwa huru.

Sheria hizo za kikatili za karne ya saba kamwe haziwezi kukubalika katika dunia ya sasa iliyostaarabika na ndio maana hao waarabu wanakimbia nchi zao na kwenda katika nchi kama Marekani, Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Canada, Australia nk.
 
Uharo mtupu
 
Alisikika mlokole mmoja kutoka nyumbani kwa mzee wa upako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…