kuna kutalii na kwenda kuomba investments, na kuna kwenda kutembea na kwenda kufanya kazi. Huwezi kusema unaenda kuvutia wawekezaji wakati hakuna ulilofanya nyumbani kuwavutia waje. Kama umeme unakatika, majia yanakatika, wizi, ufisadi, barabara mbovu sidhani kama unaweza kupata wawekezaji unless wawe wazugaji.
Kila kiongozi anakuja na huduma zake, ama umeme umeanza katika baada ya awamu ya nne, na barabara zimeharibika kipindi hicho?
Du mkuu basi itakauwa kali hiyo. Mimi nikiingia madarakani basi lengo langu litakuwa ni kutoa huduma ya internet tu, na wa awamu ya 21 huduma yake itakuwa kwenye maji ya kunywa.
US imemtuma mwakilishi wake kwenda katika nchi za kiarabu waende kufanya "direct investment" ili ku-boost economic growth in US. Gulf arab countries wameombwa kuongeza already available of investments of 25bn.
fuatilia hii ripoti hapa Al Jazeera English - Business - US invites Gulf Arab investment
Wana JF msishangae JK kwenda uarabuni for investment hata Obama (US)anaenda, it is very simple suplus economies finance economies with deficit.
Mkuu nadhani hujanielewa nilichoandika, suala si kuwa safari za Kikwete ndio zinasababisha kukatika kwa Umeme, ama kuwa na miundo mbinu mibovu. Hii ipo hata kwa maRais waliopita. Haihusiani kabisa na safari zake, japo kupunguza safari zisizo za lazima inaokoa fedha yetu walikodi. Hivyo huwezi zingumzia miundo mbinu mibovu na safari zake, labda useme kuwa aliyemtangulia aliitengeneza miundombinu, na alipomaliza muda wake akaiharibu ili afuataye aanze upya.