Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Tuliwambia humu Yemen hakuna Taifa duniani linamuweza mkabisha, mkawa mnacheka wengine wakawa wanawacheka eti ni masikini kuliko hata Tanzania.
Leo hi America kakimbia Red Sea kakiri wazi Yemen ni moto wa kuotea mbali, sa nani atasogea hapo?
View: https://youtu.be/X4gEJdChHvs?si=UDvbpvkGDw8l_IIe
Leo hi America kakimbia Red Sea kakiri wazi Yemen ni moto wa kuotea mbali, sa nani atasogea hapo?
View: https://youtu.be/X4gEJdChHvs?si=UDvbpvkGDw8l_IIe