USA Amekimbia Red Sea

Unadhihaki na kuchukia kusujudu/kugonga kichwa chini, ibada zilifanyika hivyo toka Ibrahim,Musa,yesu mpaka Muhammad, Joshua 7:6, Genesis 17:3, exodus 34:8,numbers 16:22,Mathew 26:39, QUR'AN 2:133

Sasa wewe ukifika kwa Mungu' jiandae kumueleza ibada ya mayowe na kurukaruka kana kwamba yeye kiziwi umeitoa wapi
 
Kwahiyo unataka kusema i Houth ni superpower sio!!!
 
Marekani aliwakimbia Taleban chupi mkononi hata huko Yemen kawakimbia Houth kwa staili iyoiyo ya kyupi mkononi
 
Unaposema USA unamaana ya United state of America au unamaanisha
USA RIVER ya Arusha.
Yaaaani mm huwa sielewi kabsa tofauti na Quran huko madrasa sijui huwa wanafundishwa nn kingine. Anaejua anisaidie yaani Marekani awakimbie Houthi!!!!!?????
 
Waafrika sio lazima tufuate hayo na sisi tuna namna yetu tunavyopaswa kuabudu na mkataa chake ni mtumwa. Acha fikra za kuhusudu tamaduni za kigeni, ndio ujinga wa waafrika.
 
Muhamad ni nani?
 
Unaposema USA unamaana ya United state of America au unamaanisha
USA RIVER ya Arusha.
Eti aikimbie failed state ya Yemen!! Hii mijitu zaidi ya kupenda kula na kuchezea mavi hamna yanachoweza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…