USA: COVID-19 Update 3/3/2020; Jumla ya wagonjwa 272,998, maambukizi mapya 28048, waliokufa Leo +934 Jumla ya Vifo 7004

USA: COVID-19 Update 3/3/2020; Jumla ya wagonjwa 272,998, maambukizi mapya 28048, waliokufa Leo +934 Jumla ya Vifo 7004

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
Kwa tathmini ya Taifa kubwa LA Marekani lililoelemewa na CORONA Sisi mataifa machanga tunahitaji maombi ya mwenyezi Mung u

Nawapa pole Sana Binadamu wenzangu Wamarekani nawaombeni sasa binadamu wenzetu mjifunze kuwa adui yetu si sisi kwa sisi binadamu adui yetu ni yule asiyeonekana

Marekani kiranja wa adui yenu si Osama, wala Sadam wala Gaddafi au Mugabe bali CORONA VIRUS ni mfano wa adui halali wa mwanadamu

Marekani badilisha Sera zako za kisiasa Duniani kutokee Mapinduzi makubwa ya kukabiliana na adui asiyeonekana
.
Marekani CORONA ameilazimisha Dunia kutoandamana amelazimisha Dunia kufuata Sera za kijamaa ninajua wazi banda ya CORONA siasa za maandamano zitapoa kwa muda
 
I've already say no God can help in this game! If isn't nature is beating us just know this there's someone behind this!
We have everything we need to have,and our intelligence is where the answer it is!!

Nature will always remain the meaning of our existence and vice versa.
 
Huu nimtihani
Hapo ndio utajua hakuna cha Super power
Hili liugonjwa hatari sana
 
Dah!.. huu ugonjwa hatari sana tusiache kufuata ushauri tuliopewa na wataalamu wetu wa afya.
 
We know what to do to bring back our economy back to life. What we do not know how to do is to bring people back to life"~Nana Addo Akuffo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi na black American nao wanadondoka au ni White's peke yao?
 
Hivi na black American nao wanadondoka au ni White's peke yao?
Hakuna kitu Kama hicho ni kweli wanaumwa lakini wanapona na bila hata kuwekewa mitungi ya oxygen....mungu ni wa ajabu Sana na ndio maana wanalazimisha chanjo ianzie Afrika walete Kali zaidi ya hili gonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom