Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
USA: ELON MUSK ANUNUA 9.2% YA HISA ZA TWITTER
Hatua hii inamnafanya Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla kuwa mbia mkubwa wa kampuni, karibu mara nne ya ukubwa wa hisa za mwanzilishi Jack Dorsey ambazo ni 2.25%, kulingana na ripoti ya forbes
Ununuzi huu unakuja wiki kadhaa baada ya kuishutumu Twitter kwa kuzuia uhuru wa kujieleza kwenye jukwaa lake.