USA kashikwa pabaya na Putin

USA kashikwa pabaya na Putin

Ujerumani wapo sahihi, maana kufanya marekani kukaa ujerumani ni kuanza kuichunguza na kuhatarisha usalama wa taifa la ujeruman kila mtu ashinde mechi zake, ujerumani anamaumivu makali mgao wa gesi, umeme bei juu, alijaribu kununua mafuta marekani marekani kamuuzia kwa baadhi i kubwa zaidi ya mafuta ya mrusi, kaona hii vita ahaina maslahi kwao..... Acha wawe wakazaie USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida hiyo nchi nyingi za ulaya hazitaki kubebq msalaba wa mwingine... ni kama kila mtu abebe msalaba wake mpaka kaivali...

Mfano Erdogan wa uturuki dhidi ya wasyria na wahamiaji... alikosa sapoti ya ulaya, akawafungulia mpaka na kuwapa mabasi kuwa peleka mpaka wa kuingilia nchi nyingine za ulaya ili waumie wote

Mifano ni mingi kunaufaransa na wahamiaji wanao enda uingereza, mpaja juzi wana tamani kuwa beba kuwa leta rwanda... ufaransa aliwaacha waende UK agomboke

Italia wana pambana na waamiaji kilasiku, atachoka atakuja wabeba na kuwa pelekanchi zingine za ulaya

Spain pia hivyo hivyo

Hivi ni visa vya maeneo ya wahamiaji toka pembe za dunia...

Ukiqngalia ktk sakata la ukraine na urusi ni hivyo hivyo

Nchi nyingi raia wake hawataki matatizo ya kubeba mizigo ya wengine

Mfano
Ufaransa wameandmana
Czech wameandamana
Ujeruman
Poland nk
 
Ujerumani wapo sahihi, maana kufanya marekani kukaa ujerumani ni kuanza kuichunguza na kuhatarisha usalama wa taifa la ujeruman kila mtu ashinde mechi zake, ujerumani anamaumivu makali mgao wa gesi, umeme bei juu, alijaribu kununua mafuta marekani marekani kamuuzia kwa baadhi i kubwa zaidi ya mafuta ya mrusi, kaona hii vita ahaina maslahi kwao..... Acha wawe wakazaie USA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujerumani na USA hawana tofauti... tofauti ni misimamo, ujerumani ndio roho ya EU na USA ana lifahamu hilo

Leo ujerumani ana mutual understanding na mashishirikiano na china ambayo ameingia nae juzi kwa ajili ya maswala ya kibiashara, usalama, teknolojia...

Unaona ni mtu ambaye anataka kujiimalisha zaidi bila kuangalia pande ipi akae
 
Wajerumani hawataki kuona jeshi la USA kwao, wanawafukuza wa America kwao na NATO inansambaratika


Ni suala la muda - Ulaya nzima ita andamana kushinikiza viogozi wao kuachana na mbwembwe za Wamerikani zinazo waingiza kwenye mdororo mkubwa wa kiuchumi na uwezekano mkubwa wa kutokea WW3 vikianzia huko huko katika bara la Ulaya na sio Merikani ambayo hipo zaidi ya 3000Km kutoka bara la Ulaya - ya nini kuendelea kushirikiana na Taifa ambalo linaweza kuwasababishia bara lenu likateketezwa kwa mabom ya thermonuclear, binafsi siwalahumu raia wa bara la Ulaya - Uncle SAM hawatakii mema hata kidogo, alivyo wa ajabu hivi sasa anawambia Industrialists wa Ulaya eti wahamishie viwanda vyao Amerika anawalenga hasa Wajerumani na Wafaransa ndio maana US hawapendi kabisa Wajerumani wawe karibu na Warusi kiviwanda na kiuchumi wanawachukulia ni tishio barani Ulaya - mwisho wa siku bara la Ulaya halitaona umuhimu wowote wa kuendelea kushirikiana na Merikani - kitu hii inamtia wasi wasi sana Uncle SAM ndio maana ana hakikisha that will never happen.
 
Back
Top Bottom