Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Ujerumani na USA hawana tofauti... tofauti ni misimamo, ujerumani ndio roho ya EU na USA ana lifahamu hiloUjerumani wapo sahihi, maana kufanya marekani kukaa ujerumani ni kuanza kuichunguza na kuhatarisha usalama wa taifa la ujeruman kila mtu ashinde mechi zake, ujerumani anamaumivu makali mgao wa gesi, umeme bei juu, alijaribu kununua mafuta marekani marekani kamuuzia kwa baadhi i kubwa zaidi ya mafuta ya mrusi, kaona hii vita ahaina maslahi kwao..... Acha wawe wakazaie USA
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajerumani hawataki kuona jeshi la USA kwao, wanawafukuza wa America kwao na NATO inansambaratika