===
Katika hali isiyo ya kawaida Wakili wa Brooklyn Nchini Marekani, Breon Peace ametangaza kujiuzuru mapema mwakani kabla ya Uapisho wa Rais Mteule wa Marekani Bw Donard Trump ambaye ataapishwa tarehe 20 January 2025 huku Peace akijiuzuru tarehe 10 siku chache kabla ya Uapisho wa Trump na nafasi yake kukaimiwa na Carolyn Pokorny.
Rais Joe Biden anayemaliza muda wake alimteua Mwanasheria Breon Peace mwaka 2021 na mwezi Novemba mwaka huu alitangaza na kumfungulia mashitaka ya kutoa rushwa Billionaire Adani Gautani, Sagar Adani pamoja na Mkurugenzi Mkuu Vneet Jaain kwamba walitoa rushwa ya $253M zaidi ya TZS 600bn kwa maafisha wa Serikali na mashirika ya fedha ili kupata upendeleo wa kibiashara, madai ambayo Adani Group wameyakanusha mara kadhaa hata hivyo Marekani wameshindwa pia kuthibitisha madai hayo bila kuacha shaka.
Habari za chini chini zinasema huenda Adani Group akadai na kulipwa fidia kubwa endapo atashinda kesi hiyo na pengine ndio kitu kinachomfanya Mwanasheria Mkuu Breon Peace kuikimbia Ofisi yake kabla ya mambo kuwa mabaya zaidi kwani katika siku tatu za kwanza tu Adani Group ilitangaza hasara ya $34bn zaidi ya Trilioni 80 za Kitanzania.
Hatujafanikiwa kupata habari zozote kutoka Kenya kwani nao walimfurusha Adani kwa kuvunja mikataba nae kwa sababu ya tuhuma hizo hizo za Marekani na haijajulikana ni fidia kiasi gani huenda Kenya ikalipa endapo Adani atashinda Kesi hiyo iliyofunguliwa Marekani,
============================================
US Attorney Breon Peace, who was involved in the charges against Adani, is set to resign before Donald Trump assumes office. In a press release released by the United States Attorney's Office, it said that Peace will be resigning as United States Attorney for the Eastern District of New York on January 10, 2025.
It was also stated that Carolyn Pokorny, the First Assistant United States Attorney, will assume the role of Acting United States Attorney for the Eastern District of New York after Peace's departure.
Source: Mint, India Today