Kuna conspiracy theory kuwa USA walimtumia scientist wa kichina kupandikiza corona Wuhan, wachina wakashtukia mchezo. Wakajipanga wakaapa kulipiza,
wakammshawishi huyo traitotor aende China then wakamaliza,
Baadaye wakastrugle wakapata dawa na kinga,
kabla ya outbreak between sept 2019 - 2020 in retaliation china wakakusanya wagonjwa asymptomatic, zaidi ya 720 wakapakiwa kwenye ndege tofauti kwenda USA Italy na Uk, then wakaachiwa kusambaa kila sehemu kushika, kutema Kukohoa kila mahari bila kuonwa ili kusambaza hao virus.
baada ya kumaliza hiyo kazi kwa ufanisi, wakukusanyika pamoja na kurudishwa China, kisha kutibiwa na kupona,
China wamecontrol contagious na rate iko chini sana, muziki wameaachia the US and Co waucheze