URGENT.
Kama unamfahamu kijana wa kiume yeyote aliyemaliza form6 mwaka huu (combination ya science ya PCM...PGM.)...mwenye division 1 OR 2..Mwenye miaka 19 or 20 anatakiwa kwa ajili ya kwenda.
Kusoma urubani marekani na anatakiwa awepo Dsm ili kesho aende ubalozi wa marekani kwa ajili ya kuanzisha mchakato...kama yupo anipigie 0767 150 477 nimwambie wapi aende.