USA wana Demokrasia yao ambayo inabebwa na akili kubwa zilizopo kwenye mifumo muhimu ya Taifa

USA wana Demokrasia yao ambayo inabebwa na akili kubwa zilizopo kwenye mifumo muhimu ya Taifa

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Ni kwamba mifumo inavipa nguvu vyama vichache ili kurahisisha vetting, mifumo inachagua yupi atafaa zaidi kuongoza taifa, hii ni Demokrasia ya aina yao.

Kwa kifupi ni kwamba mifumo ya kiusalama ipo kwa ajili ya Taifa sio Chama na tusitegemee kuona civil war USA labda baadae sanaa.
 
Ni kwamba mifumo inavipa nguvu vyama vichache ili kurahisisha vetting, mifumo inachagua yupi atafaa zaidi kuongoza taifa , hii ni Demokrasia ya aina yao .

Kwa kifupi ni kwamba mifumo ya kiusalama ipo kwa ajili ya Taifa sio Chama na tusitegemee kuona civil war USA labda baadae sanaa .
Pale kuna mifumo ndo insendesha nchi Raisi is just fingure head.
 
Uchaguzi huu wa 2024 ulikusudiwa mazima kufanya marekebisho ya kashfa nzito waliyoipata 2020. Katika ule uchaguzi, Marekani ilionekana dhaifu hata kuliko nchi ya Tshekedi wa DRC.

Sasa ukijumlisha na rais waliyemweka madarakani 2020 na visa vyake kutwa nzima na usiku kuchwa, ndiyo kabisaa. Afadhali wangeiba vile, halafu akawekwa madarakani rais anayejitambua.

^We've a president who doesn't even know he exists,^ ~Trump.

Ndiyo maana 2024 wameamua kujikosha, tena kwa matokeo ndani ya saa 24! Kifupi, upumbavu ulioko duniani, uko Marekani pia.
 
Back
Top Bottom