Uchaguzi huu wa 2024 ulikusudiwa mazima kufanya marekebisho ya kashfa nzito waliyoipata 2020. Katika ule uchaguzi, Marekani ilionekana dhaifu hata kuliko nchi ya Tshekedi wa DRC.
Sasa ukijumlisha na rais waliyemweka madarakani 2020 na visa vyake kutwa nzima na usiku kuchwa, ndiyo kabisaa. Afadhali wangeiba vile, halafu akawekwa madarakani rais anayejitambua.
^We've a president who doesn't even know he exists,^ ~Trump.
Ndiyo maana 2024 wameamua kujikosha, tena kwa matokeo ndani ya saa 24! Kifupi, upumbavu ulioko duniani, uko Marekani pia.