USA WORLD DEMOCRACY TOUR: MH!!!!!!!

... inamaanisha nini hiyo picha?
 
Marekani ni wanyama na wanafiki wasiokuwa na mfano!! Ni chanzo cha madhara ya kivita karibuni yote duniani. Mkeka hapo juu unaonesha wamezunguka duniani kuanzisha ugonvi na vita mara nyingi kuliko Taifa liolote duniani. China imewakebehi eti wanazuru duniani wakieneza demokrasia!!
 
... inamaanisha nini hiyo picha?
Inaonesha Mataifa ambayo Marekani iliyashambulia toka vita kuu ya pili ya dunia hadi sasa!! China ilikuwa inaikebehi Marekani kuwa ilikuwa inaeneza Demokrasia. Kimsingi China inamtetea Urusi kuwa si chanzo cha kukosekana amaqni duniani bali ni marekani, na ushahidi ni mkeka huo hapo juu.
 
... Rudi darasani.
 
Sasa Marekani inailaumu Urusi kwa kushambulia ukraine inalazimishwa kutazama yenyewe imeshambulia nchi ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…