USA yalalamika kuwa ushiriki wa majeshi ya Kim vitani Ukraine unayafanya majeshi hayo kuwa hatari zaidi kwa Japan, South Korea na Marekani

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Kwa kawaida adui yako ukiwa wamfyeka vitani ni furaha kwako. Cha kushangaza South Korea na Ukraine wamekuwa wakilalamika kuwa wanaajeshi wa North Korea (adui yao) wanaopigana vita upande wa Urusi dhidi ya Ukraine wamekuwa wakifyekwa kwa makumi elfu!

Wakati propaganda hizo zikiendelea, North Korea wao wanaendelea kumkimbiza mwizi kimyakimya na kugawa dozi stahiki kwenye viwanja vya vita.

Sasa Marekani (bosi wa South Korea na Ukraine) ameamua kusema ukweli na
kuilalamikia UN kuwa uwepo wa majeshi ya North Korea kwenye vita ya Ukraine kunayafanya majeshi ya Kim Jong Un kuwa tishio zaidi kwani wanapata uzoefu wa kupigana vita na kutumia silaha kali za kisasa za mrusi kitu ambacho kitaipelekea North kurea kuongeza zaidi uwezo wake wa kuzitwanga South Korea, Japani na bosi wao Marekani

Source: Reuters
=====

US warns North Korea becoming better prepared for war, fighting against Ukraine​

By Michelle Nichols
January 9, 20251:20 AM GMT+3

UNITED NATIONS, Jan 8 (Reuters) - The United States warned on Wednesday that North Korea is benefiting from its troops fighting alongside Russia against Ukraine, gaining experience that makes Pyongyang "more capable of waging war against its neighbors."

More than 12,000 North Korean troops are in Russia and last month began fighting against Ukrainian forces in Russia's Kursk region, Deputy U.S. Ambassador to the U.N. Dorothy Camille Shea told the United Nations Security Council.

"In turn, the DPRK will likely be eager to leverage these improvements to promote weapons sales and military training contracts globally," she said, using the acronym for North Korea's formal name - the Democratic People's Republic of Korea.
 
US wabinafsi binafsi, wapate wao tu. Viva NORTH KOREA
 
North Korea wanapata experience nzuri Sana kule,sio freshers Tena na watatoka huko wamechafukwa...wanajeshi wa south Korea & Japan wao ni mazoezi tu daily, hata maiti ya mwenzako kaangushwa hawaijui.
 
Hivi Kama Ukraine inapigana na russia mwaka wa 3 now. Unafikili vita na hayo mataifa unayotaja ya south Korea japan na usa itachukua miongo mingapi?
 
US kaona mbali. Koreans wakirudi kwao wata modernize jeshi lao. Maana Ukraine silaha mpya za NATO na Urudi zinatumika. So watarudi na idea nyingi jeshini kwao. Ila Sasa hamna namna ya kuwaondoa Koreans hapo. Na hiyo Kursk ikianguka itampa sifa sana mkorea
 
Back
Top Bottom