Hiki ni kiswahili cha wapi nimeshindwa kuelewaKwanza Mimi sinaga marafiki wanaovaa makatambuga
Arusha united state
Huu upuuzi upo kwenye kichwa cha Kila kijana ambae amezaliwa ukanda ambao ilikua yote ni Arusha ya zamani
Sasa vijana huu wehu wehu wenu, acha msifiwe huko kwingine lakini huku nyumbani lazima tuweambie MNALETA USSORRO
Arusha kuna watu washamba sana aiseeKwanza Mimi sinaga marafiki wanaovaa makatambuga
Arusha united state
Huu upuuzi upo kwenye kichwa cha Kila kijana ambae amezaliwa ukanda ambao ilikua yote ni Arusha ya zamani
Sasa vijana huu wehu wehu wenu, acha msifiwe huko kwingine lakini huku nyumbani lazima tuweambie MNALETA USSORRO
nahisi hiki ndio kile Kibantu chenyewe ambacho ndo asili ya lugha nyingi humu AfrikaHiki ni kiswahili cha wapi nimeshindwa kuelewa
nahisi hiki ndio kile Kibantu chenyewe ambacho ndo asili ya lugha nyingi humu Afrika
inasikitisha sana
Ukipata KITU CHA ARUSHA ndani ya Rizzler unaweza hata kuwa mkalimani wa hii lugha mkuuHiki ni kiswahili cha wapi nimeshindwa kuelewa