Usafi baada ya kufanya mapenzi!

jamani wenye ujuzi nayo tumetulia sana, na unyeti wa swala lenyewe hapa sio penyewe labda nicheki kwa pm nikushushie nondo yote. na ukitaka kufaidi vzr basi ntakupa na mafundo ya ndani na ya nje.sisi tulifundwa zamani kidogo tena mara 4
 

kwa dar possible ila si huku kwetu nyanda za juu kusini loh shida ya kutafuta ngiri nini kwani nalipwa?
 
cc huwa tunajifuta kwa kitambaaa au kitambaa safiiii,then game linaendlea

Hiyo naona inawafaa wasio na masterbed rum, manake kutoka nje kuoga, usiku wa manane, nyumba ya kupanga, unaweza zushiwa mwanga!
 
Wacha kumpoteza kijana wa watu. hakuna maandalizi kabla?
Mtu unatoka na majasho kazini, shambani, sokoni, sijui wapi
unadhani utahudumia(wa) sawa na unapo kuja sofresh soclean?
Kama nyapu haitemi shida hakuna...
 
Kwa wale wenye shida ya maji kwao wafanyeje!?
 
Hahahahaha, umenichekesha kweli.
Hata hii look tulifundwa huko huko.
Sio mwanamke unaangalia na macho ya ukali::mmph:
kama unaingiza vocha, hutaki kuruka number.
Mi sipendagi kuogaoga kila saa,unanishauri vipi baby..au mi mchafu!
 
Kama nyapu haitemi shida hakuna...

pulizia pafyumu mkuu teh teh teh...btw, hivi utajisikiaje baada ya kupiga round, mwenzako anachukua HUGO BOSS or similar brand na kuanza kukupulizia kwa fujo...
 
ngoja nipige kambi niambulie japo kujua kujiswafi
 
Reactions: BAK
Hata wale wazee wa meli?watwambie!Unazamisha nanga katika tope usioge?kweli inawezekana?au tope la mjini ni mchanga???
 
je nawale Wataalamu wa Kunyonta....CONE.......WATAPIGA MSWAKI BAADA YA KULA maupwiks /MAUJU ??????.

unakuta kutema anataka pia nakumeza mwisho wake unanyanyuwa mdomo kama pelege
 

Mzima wewe? Nywele zimeanza kuota!? Tangu lini kungwi asijue mambo ya usafi bana!?
mzima jamani umepotelea wapi weye?ziote wapi mpendwa ndo kwanza kipara kinaota unga,kungwi ntakuwa mie huoni nilivyokimbilia nipate shule mambo ya kupwinha naona yatafika tamati baada ya somo la leo!
 
Reactions: BAK
Ndio kazi ya somo sasa. Hivi inakuaje siku hizi
watu wanaoa/kuolewa bila kwenda jandoni?
ma-trick yote ya usafi ungepata huko huko
Mrs nae angefundwa,kazi yake angeijua vizuri.
Ngoja mi nikae kimya, tuliambiwa tusieme tulicho fundwa.
Wengine hatujaenda jando wala unyago tunahitaji kupata elimu. Tulikuwa tunasomea uthungu.
 
mzima jamani umepotelea wapi weye?ziote wapi mpendwa ndo kwanza kipara kinaota unga,kungwi ntakuwa mie huoni nilivyokimbilia nipate shule mambo ya kupwinha naona yatafika tamati baada ya somo la leo!

....Nilikuwa nazitega pesa πŸ™‚πŸ™‚ dah! Basi juzi nikaenda kupunguza afro langu wakati yule kinyozi anazifagia nikakumbuka moyoni nikasema hizi nywele ningeweza kuwekeza kichwani kwa shosti hahahahahah lol! Kila mwezi ningepata mshiko mzuri πŸ™‚πŸ™‚ Niliwahi kusoma hapa jamvini kwamba Shosti ni kungwi ndiyo maana nikashangaa kukuona unasubiri data za idara hii ili zikusaidie.
 
safi aisee pesa kwanza mambo mengine baadae,halafu weye tangu siku ya kwanza nimekuambia pesa sina nionee huruma nateseka na kipara ndo kwanza wataka pesa ubaya huo jamani...nani huyo ananipa ukungwi wa kimagumashi usikute mzushi the boss?
 
Reactions: BAK
safi aisee pesa kwanza mambo mengine baadae,halafu weye tangu siku ya kwanza nimekuambia pesa sina nionee huruma nateseka na kipara ndo kwanza wataka pesa ubaya huo jamani...nani huyo ananipa ukungwi wa kimagumashi usikute mzushi the boss?

Hahahahahah lol! hapo kwenye bold mie sitii neno LOL!.....Ila naweza kumtetea kwamba kwa jinsi ninavyomfahamu si mzushi labda wazushi wengine ndio waliandika hivyo πŸ™‚πŸ™‚....basi naweza kuwekeza kwa mkopo maana kipara noma bana!!!!! πŸ™‚πŸ™‚ mambo yakiwa mazuri unanipa mshiko mnene zaidi wa kipindi chote ambacho ukwasi wako utakuwa unasuasua LOL!
 
mhh ulivyomtetea haya tufanye si mzushi ila wazushi wengine ndo wamezua,hapo utakuwa umefanya la maana maana mie siogopi kudaiwa atii...leo angalau maji yatapita nna uhakika wa nywele japo si zangu...ntajishauaje!
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…