Usafi tanzania company na maajabu yake

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,071
Reaction score
1,303
Ndugu wanajamii forum baada kuchoka kuajiliwa nimeona nijiajili mwenyewe na kampuni yangu mpya ya usafi, napenda kutambulisha kampuni yangu mpya iitwayo usafitz company , kampuni hii inahusika na huduma zifuatazo;-
1. Usafi wa seat za gari kwa kutumia sabuni safi na machine maalum ya usafi iwe leather seat au velvet
2. Usafi maofisini kama vile viti, sofa, vioo
3. Usafi majumbani kama vile sofa set, vioo
4. Fumigation ya kuua wadudu kunguni, chawa na mende mashuleni, ofisini na kwenye mabus ya abiria.
Bei ni zetu ni rahisi sana
Gari la seat 5 bei ni 70,000 usafi ndani ya gari na nje seat zinakua kama za gari ya kiwandani safi na zinang'aa.
Daladala bei ni 150,000
Bus bei 200,000
Sofa set moja 70,000
Usafi wa nyumba full ukuta, sofa;vyoo,paa la nyumba na kupaka rangi paa na ukutani 2,500,000
Bei zinapungua kutokana na kazi ilivyo
Kwa mawasiliano zaidi
0762165498
Usafitanzania1@gmail.com
 
Karibun wateja sofa yako itarudi kua mpya kama zamani
 
Kweli ni maajabu yanu uoshe gari kwa 70k?
Ushawahi kumpata mteja hata mmoja?
 
Hela ya boss kuipata shida halafu daladala uoshe kwa 150,00/=
Tunapobuni biashara tujitahidi ziendane na uhalisia wa maisha ya Mtanzania halafu pesa usitoke ROI irudi mapema wakati vifaa ni vya kudumu muda mrefu.
Kuna formular nzuri tu ya biashara za hivi ila still wabongo wanafeli kingine unafungua biashara usisikilize sana maneno ya wanaokuuzia vifaa hawana uhalisia wao lengo lao ni kuuza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…