Usafi ulioletwa na Covid-19 huku kwetu Kwamtogole ni wa kiwango cha lami

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Kuvaa gloves barabarani imekuwa ni jambo la kawaida. Ukifika kwenye ATM mtu anatoa gloves za mpira kwanza kabla ya kuanza kufanya miamala. Barakoa, gloves za mpira na chupa ndogo ya sanitizer ni must be contents za hand bags.

Anaepanda basi/train ananawa na sanitizer akishakaa tu kwenye kiti chake. Basi zima mnaweza kuwa abiria watatu na basi likaondoka. Kiti cha kwanza kutoka kwa dereva kimewekwa utepe wa njano ni marufuku kukikalia.

Kinachokera ni kuona gloves za mipira na barakoa zimezagaa barabarani. Mvua zikinyesha zinaziba njia ya maji taka.
 
CA4396B8-C156-44AA-9298-B65B64FB94BD.jpeg
69AE7BA0-B7DB-4F75-A5D7-DABA991B777F.jpeg
Kuvaa gloves barabarani imekuwa ni jambo la kawaida. Ukifika kwenye ATM mtu anatoa gloves za mpira kwanza kabla ya kuanza kufanya miamala. Barakoa, gloves za mpira na chupa ndogo ya sanitizer ni must be contents za hand bags.

Anaepanda basi/train ananawa na sanitizer akishakaa tu kwenye kiti chake. Basi zima mnaweza kuwa abiria watatu na basi likaondoka. Kiti cha kwanza kutoka kwa dereva kimewekwa utepe wa njano ni marufuku kukikalia.

Kinachokera ni kuona gloves za mipira na barakoa zimezagaa barabarani. Mvua zikinyesha zinaziba njia ya maji taka.
 
Mpaka jinamizi Corona likiondoka kila mtu ataelewa umuhimu wa usafi.
 
Sasa usafi uko wapi hapo wakati used gloves za mipira na mask zimezagaa hovyo? huoni kua hiyo ni hatari pia? kudispose hivyo vitu inayotakiwa ndio kamilisha la usafi.
 
Kuvaa gloves barabarani imekuwa ni jambo la kawaida. Ukifika kwenye ATM mtu anatoa gloves za mpira kwanza kabla ya kuanza kufanya miamala. Barakoa, gloves za mpira na chupa ndogo ya sanitizer ni must be contents za hand bags.

Anaepanda basi/train ananawa na sanitizer akishakaa tu kwenye kiti chake. Basi zima mnaweza kuwa abiria watatu na basi likaondoka. Kiti cha kwanza kutoka kwa dereva kimewekwa utepe wa njano ni marufuku kukikalia.

Kinachokera ni kuona gloves za mipira na barakoa zimezagaa barabarani. Mvua zikinyesha zinaziba njia ya maji taka.
Kwa mtogole ATM ya Benki gani IPO? Treni inapita mtogole ya wapi? Mabasi gani hayo yanayokataa kiti cha mbele kisikaliwe yanayopita Kwa mtogole? Sky Eclat
 
Nimwendo wakujipa hope ..tu,

GLORIA FEKI asiyekuwa na kidoti, mpaka sasa hajaonekana TBC akitangaza, wala hata ofisini hajafika! Wakati anadai kuwa ni mzima tena mwenye afya tele!
Watanzania msiwe wajinga kiasi hicho aisee!c
 
Kuvaa gloves barabarani imekuwa ni jambo la kawaida. Ukifika kwenye ATM mtu anatoa gloves za mpira kwanza kabla ya kuanza kufanya miamala. Barakoa, gloves za mpira na chupa ndogo ya sanitizer ni must be contents za hand bags.

Anaepanda basi/train ananawa na sanitizer akishakaa tu kwenye kiti chake. Basi zima mnaweza kuwa abiria watatu na basi likaondoka. Kiti cha kwanza kutoka kwa dereva kimewekwa utepe wa njano ni marufuku kukikalia.

Kinachokera ni kuona gloves za mipira na barakoa zimezagaa barabarani. Mvua zikinyesha zinaziba njia ya maji taka.
Ikitokea ugonjwa huu ukaisha basi mbaki na ustaarabu huo huo wa usafi.
 
Unapenda sana kuitumia ‘kwa-Mtogole’ kama rejea yako ukimaanisha mazingira duni, tunakuwinda tukutie adabu... we endelea tu.
 
Kwa mtogole kuna baadhi Pana uswahili, Ila kuna watu wamesimamisha vyuma vya ukweli hata ushuhani hamna
 
Back
Top Bottom