Kuvaa gloves barabarani imekuwa ni jambo la kawaida. Ukifika kwenye ATM mtu anatoa gloves za mpira kwanza kabla ya kuanza kufanya miamala. Barakoa, gloves za mpira na chupa ndogo ya sanitizer ni must be contents za hand bags.
Anaepanda basi/train ananawa na sanitizer akishakaa tu kwenye kiti chake. Basi zima mnaweza kuwa abiria watatu na basi likaondoka. Kiti cha kwanza kutoka kwa dereva kimewekwa utepe wa njano ni marufuku kukikalia.
Kinachokera ni kuona gloves za mipira na barakoa zimezagaa barabarani. Mvua zikinyesha zinaziba njia ya maji taka.
Kwa mtogole ATM ya Benki gani IPO? Treni inapita mtogole ya wapi? Mabasi gani hayo yanayokataa kiti cha mbele kisikaliwe yanayopita Kwa mtogole? Sky EclatKuvaa gloves barabarani imekuwa ni jambo la kawaida. Ukifika kwenye ATM mtu anatoa gloves za mpira kwanza kabla ya kuanza kufanya miamala. Barakoa, gloves za mpira na chupa ndogo ya sanitizer ni must be contents za hand bags.
Anaepanda basi/train ananawa na sanitizer akishakaa tu kwenye kiti chake. Basi zima mnaweza kuwa abiria watatu na basi likaondoka. Kiti cha kwanza kutoka kwa dereva kimewekwa utepe wa njano ni marufuku kukikalia.
Kinachokera ni kuona gloves za mipira na barakoa zimezagaa barabarani. Mvua zikinyesha zinaziba njia ya maji taka.
Ikitokea ugonjwa huu ukaisha basi mbaki na ustaarabu huo huo wa usafi.Kuvaa gloves barabarani imekuwa ni jambo la kawaida. Ukifika kwenye ATM mtu anatoa gloves za mpira kwanza kabla ya kuanza kufanya miamala. Barakoa, gloves za mpira na chupa ndogo ya sanitizer ni must be contents za hand bags.
Anaepanda basi/train ananawa na sanitizer akishakaa tu kwenye kiti chake. Basi zima mnaweza kuwa abiria watatu na basi likaondoka. Kiti cha kwanza kutoka kwa dereva kimewekwa utepe wa njano ni marufuku kukikalia.
Kinachokera ni kuona gloves za mipira na barakoa zimezagaa barabarani. Mvua zikinyesha zinaziba njia ya maji taka.
Kwa mtogole kuna baadhi Pana uswahili, Ila kuna watu wamesimamisha vyuma vya ukweli hata ushuhani hamnaUnapenda sana kuitumia ‘kwa-Mtogole’ kama rejea yako ukimaanisha mazingira duni, tunakuwinda tukutie adabu... we endelea tu.