Usafi wa kucha na jinsi ya kuzitunza zisipate magonjwa

Heshima kwenu wakuu,

Mimi huwa sipendezwi na wanawake wadada wanaopaka kucha zao rangi halafu unakuta rangi imechakaa na ishaanza kubanduka.

Unakuta mtu kapendeza kuanzia juu hadi chini tena. Unakuta mtu hata wigi hajavaa lakini ukiangalia kucha zina mabakabaka. Inawashushia heshima. Jiangalie kucha zako mwanamke wewe unayesoma hapa.

Heshima kwa wanawake wote wanajali usafi wao. Kuna dada unakuta hajapaka rangi lakinibkucha zake safi, kazisafisha mwenyewe hadi unapenda.

Asilimia kubwa wanaopaka rangi wwnaficha uchafu. Unakuta mdani ya kucha ukichokonoa kuna ichafu kama ugoro, sema huwezi kuona sababu ya rangi. So ukitaka kujua mwanamke mchafu akikusalimia angalia kama rangi imebandukabandika. Mara nyingi unakuta hata nguo zake za ndani chafu. Anashindwa kutunza kucha ataweza kutunza papuchi?
 
Hivyo vidole vya miguuni kwenye picha kama vyangu vile Sema sio vyeupe kama hivyoo...
 
Duh mkuu angalia tusikuokote mafinga maana sio kwa ukweli huo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wamekusikia mkuu, lakini mbona hata sie wanaume kwenye huu uzembe wa kucha tupo?

Vitu hivi tunavichukulia kirahisi rahisi sana, soksi, leso na zile za ndani. hata kucha ile kuzikata tu zionekane nadhifu inakua shida.
 
Nina miezi 8 sasa sijafanya hayo mambo
 

Bei ni elfu 10000/= tu.

Unahangaika kujipaka rangi au kupaka rangi kwa sababu vidole havitulii na vinakutana[emoji23] hiyo unapata kwa shillingi 5500/=

Ukipaka rangi inachukua muda sana kukauka kiasi kwamba mpaka unajiharibu au unashndwa kufanya mambo mengine..usijali[emoji7], nails dryer hyo hapo ni imara na rahisi kubebeka yaan portable... kwa shilling elfu 30000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…