Rafikikabisa
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 252
- 47
Walter Sawe
Rais Kikwete aliwahi kusema yaliyomkuta Lowassa ni ajali ya kisiasa. Naamini Lowassa alipokuwa akifanya maamuzi mengi kati ya niliyoyataja hapo juu, tulimshangilia na kumsifia kana kwamba kiongozi shupavu. Nauliza, je, utamaduni huu wa kumalizana utatupeleka wapi?
Akifanya vizuri tunamsifia na kumshangilia... Akifanya vibaya tena kwa kukusudia achwe asiwajibishwe...hiyo imekaa sawa kweli?