Usafi wa mazingira umeshindikana Manispaa ya Moshi, wananchi walalamika

Usafi wa mazingira umeshindikana Manispaa ya Moshi, wananchi walalamika

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Wakazi wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kuzagaa kwa takataka katika maeneo yao kwa zaidi ya miezi mitatu sasa pasipo kuzolewa licha ya kutozwa ushuru wa uzoaji wa taka hizo

Majibu Kwa njia ya simu kutoka Moshi, ni ya uongo na hayaba mshiko.

KAZI yake kukusanya michango ya send off party ya Binti wake wa KAZI na kujiandaa kwenda kugombea ubunge huko songea.

 
Back
Top Bottom