Temesa ebu tuaangalieni wanakigamboni tunateseka sana sana na hii changamoto ya kivulo kimoja hivi kweli kwa aya mateso viongozi mnapata usingizi kweli
Kigamboni kwasasa ina watu wengi sana sana si ya kivuko kimoja tena kidogo tunapitia hali ngumu sana yaaani ukifika hapa eneo la kuvuka akili inadumaa kabisa uoni kama kweli kuna harakati za kutusaidia kigamboni na huu msaada wa kutuvusha
Wananchi Tanzania ni mzigo tena mzigo kweli kweli
Daraja la kigamboni lilijengwa kwa faida ya nani kiasi cha kukaa tu barabarani na mabango yanaohoji uhalali wa kulipia daraja ni upi wanashindwa?
Hakuna mtu anayeweza kujibu majibu yanayoelekea kwamba ni kwanini watu wanalipia kuvuka daraja hatupo ni upuuzi mtupu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.