N nickson1987 Senior Member Joined Aug 16, 2011 Posts 191 Reaction score 24 Jan 22, 2014 #1 Nipigie simu kuwahi nafasi ya mwanao sio usafiri WA kubanana simu namba 0714064767
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,568 Reaction score 9,710 Jan 22, 2014 #2 Hembu nipe gharama kwa Mtoto anaetokea Chanika mwisho na nasoma Olympio au Diamond
S SAIZI YANGU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2013 Posts 381 Reaction score 83 Jan 22, 2014 #3 Wewe ni kampuni gani maana kuna makampuni pale kama flank tumeyachoka kwa kukodi magari mabovu na kusababisha watoto wetu wafike majumbani usiku. nickson1987 said: nipigie simu kuwahi nafasi ya mwanao sio usafiri wa kubanana simu namba 0714064767 Click to expand...
Wewe ni kampuni gani maana kuna makampuni pale kama flank tumeyachoka kwa kukodi magari mabovu na kusababisha watoto wetu wafike majumbani usiku. nickson1987 said: nipigie simu kuwahi nafasi ya mwanao sio usafiri wa kubanana simu namba 0714064767 Click to expand...
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,568 Reaction score 9,710 Jan 22, 2014 #4 Hasa Olympio ndio balaa,wanajazana mapka pa kupita hakuna,kiti kinajaa mpaka wengine wanaka juu ya kichwa cha kiti
Hasa Olympio ndio balaa,wanajazana mapka pa kupita hakuna,kiti kinajaa mpaka wengine wanaka juu ya kichwa cha kiti
N nickson1987 Senior Member Joined Aug 16, 2011 Posts 191 Reaction score 24 Jan 22, 2014 Thread starter #5 Usafiri unaotumika ni gari aina ya noah, bei ya kawaida Ni 50,000/= bali inategemea na umbali