H Heinrich Himmler Member Joined May 20, 2013 Posts 71 Reaction score 151 Sep 29, 2013 #1 Wakuu wanaoenda UDOM kuna mtu anaondoka na gari yake aina ya noah anahitaji watu 7 wamchangie mafuta aondoke nao tar 12/10/2013 asubuhi saa 2 ubungo. kila mtu amchangie 20,000. namba yake ya simu nitakupa ukini-pm asante
Wakuu wanaoenda UDOM kuna mtu anaondoka na gari yake aina ya noah anahitaji watu 7 wamchangie mafuta aondoke nao tar 12/10/2013 asubuhi saa 2 ubungo. kila mtu amchangie 20,000. namba yake ya simu nitakupa ukini-pm asante
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,562 Sep 29, 2013 #2 Competence ya udereva????!!!! Wanafunzi mkapande mabasi tafadhali!!!!