Usafiri wa Arusha, hali ikoje kwa msimu huu?

Usafiri wa Arusha, hali ikoje kwa msimu huu?

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
770
Reaction score
794
Wadau nataka kwenda arusha kwenye tarehe 20.dec 2015 hali usafiri ikoje kwa waliosafiri wiki hii kuna shida ya usafiri au hali bado haijachanganya nauli imefikia sh ngapi?
 
Jana kuna mtu kakata ticket ya kusafiri leo na bei ni sh 33K. Hiyo ndo bei halisi. Kadri siku zinavyosogea bei inaweza kupanda.
 
Back
Top Bottom