N ngawia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 770 Reaction score 794 Dec 16, 2015 #1 Wadau nataka kwenda arusha kwenye tarehe 20.dec 2015 hali usafiri ikoje kwa waliosafiri wiki hii kuna shida ya usafiri au hali bado haijachanganya nauli imefikia sh ngapi?
Wadau nataka kwenda arusha kwenye tarehe 20.dec 2015 hali usafiri ikoje kwa waliosafiri wiki hii kuna shida ya usafiri au hali bado haijachanganya nauli imefikia sh ngapi?
M mafutamingi JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,773 Reaction score 2,183 Dec 16, 2015 #2 Jana kuna mtu kakata ticket ya kusafiri leo na bei ni sh 33K. Hiyo ndo bei halisi. Kadri siku zinavyosogea bei inaweza kupanda.
Jana kuna mtu kakata ticket ya kusafiri leo na bei ni sh 33K. Hiyo ndo bei halisi. Kadri siku zinavyosogea bei inaweza kupanda.