Usafiri wa Dar to Korogwe

Usafiri wa Dar to Korogwe

Burungutu sandawesu

Senior Member
Joined
Sep 11, 2022
Posts
153
Reaction score
261
Habari wakuu,

Nina dharura nahitajika Korogwe, upi ni usafiri mzuri Dar to Korogwe iwe asubuhi au mchana usafiri mzuri tu wa basi?

Asanteni
 
Ukifika mbezi Saa 12 alfajiri kuna gari kama utiriri, za lushoto, arusha, ila sasa ili ku punguza gharama panda za Lushoto maana za arusha wanakata tiketi ya Arusha.

Kuna Kiluwa, Burdani, Manning Nice, kibomboi
 
HEhehe sasa kuna sheria ya kuuliza kipi na kipi nisiulize, kama sifahamu kitu nauliza huku kuna watu wana weledi tu wakujibu, ungepita tu kama uzi unakukera
Dar/korogwe usafiri mzuri tena jamani? yaani sehemu unafika hata hamjasimama popote kuchimba dawa? acha masikhara basi panda daladala.
 
Kuna watu wana stress sanaa, yaani kila kitu yeye anakosoa,
Halafu heading si inajieleza, sasa kwanini ufungue uzi usioupenda??
Kama huwezi msaidia mtu basi angalau usimkwaze.
 
Kuna watu wana stress sanaa, yaani kila kitu yeye anakosoa,
Halafu heading si inajieleza, sasa kwanini ufungue uzi usioupenda??
Kama huwezi msaidia mtu basi angalau usimkwaze.
Sonona zipi we nungunungu! mambo mengine acheni kudeka deka.
 
Back
Top Bottom