Burungutu sandawesu
Senior Member
- Sep 11, 2022
- 153
- 261
Basi la burdanasante bro, muda gani zinaondoka
Panda ata gari za kwenda mombasa kesho by saa tatu ushatia timu zamani sanaHabari wakuu nna dharula nahitajika korogwe, upi ni usafiri mzuri dar to korogwe iwe asubuhi au mchana usafiri mzuri tu wa basi, asanteni
Korogwe nako ni kwa kuja kuanzisha uzi kweli? Ionekane na wewe umendikaHabari wakuu nna dharula nahitajika korogwe, upi ni usafiri mzuri dar to korogwe iwe asubuhi au mchana usafiri mzuri tu wa basi, asanteni
HEhehe sasa kuna sheria ya kuuliza kipi na kipi nisiulize, kama sifahamu kitu nauliza huku kuna watu wana weledi tu wakujibu, ungepita tu kama uzi unakukeraKorogwe nako ni kwa kuja kuanzisha uzi kweli? Ionekane na wewe umendika
Dar/korogwe usafiri mzuri tena jamani? yaani sehemu unafika hata hamjasimama popote kuchimba dawa? acha masikhara basi panda daladala.HEhehe sasa kuna sheria ya kuuliza kipi na kipi nisiulize, kama sifahamu kitu nauliza huku kuna watu wana weledi tu wakujibu, ungepita tu kama uzi unakukera
Chukua mabasi ya Arusha au MoshiHabari wakuu,
Nina dharura nahitajika Korogwe, upi ni usafiri mzuri Dar to Korogwe iwe asubuhi au mchana usafiri mzuri tu wa basi?
Asanteni
Panda ata gari za kwenda mombasa kesho by saa tatu ushatia timu zamani sana
Sonona zipi we nungunungu! mambo mengine acheni kudeka deka.Kuna watu wana stress sanaa, yaani kila kitu yeye anakosoa,
Halafu heading si inajieleza, sasa kwanini ufungue uzi usioupenda??
Kama huwezi msaidia mtu basi angalau usimkwaze.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] relaaaax mzee, hio ni hali ya kupitaaSonona zipi we nungunungu! mambo mengine acheni kudeka deka.
Angalia korogwe ma dada pouwa wanakaa reception kwenye guestShukran ndugu zangu nimefika salama,
Kwa mara ya mwisho mimi nilipanda Kiruwa. Walau lipo standard. Pia kuna akina Mvungi wanaoenda Kilimanjaro, nao wako vizuri.Habari wakuu,
Nina dharura nahitajika Korogwe, upi ni usafiri mzuri Dar to Korogwe iwe asubuhi au mchana usafiri mzuri tu wa basi?
Asanteni