Usafiri wa kwenda Bukoba 22/12/2017 kurudi 03/01/2017 kwa bei nzuri

sundoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
2,067
Reaction score
2,771
Habari wakuu?

Nawajulisha kuna usafiri wa costa wa kwenda Bukoba tar 22/12/2017 na kurudi ni 03/01/2018. Gari inaenda hadi Missenyi, Ruzinga. Nauli ni 60,000/ tu. Kwenda na kurudi unalipa 120,000/. Kama unaenda Bukoba au una ndugu au jamaa anayesafiri kwenda Bukoba katika tarehe hizo mjulishe apate usafiri mzuri na wa uhakika hasa katika kipindi hiki ambacho ticket Ubungo zimeshakuwa za shida sana.

Hata wa Bukoba maeneo mengine watapewa nafasi ila kipaumbele ni kwa wanaoenda hadi Kiziba! Wahi nafasi zimebaki chache pia.

Wasiliana na 0767334174, 0712016405 kwa maelezo na kulipia.

Asanteni
 
Hyo si ndo nauli ya Dar Bukoba.Na pia unadhan kila mtu atapenda kurud trh 3 wengine kabla wengine baada
 
Aiseeee tangazo nusu hili. Nahitaji huo usafiri nipo Chato utanfanyia bei gani??

Hujataja uliko
 
Utasaidia mkuu maana sa hv usafir ni shida,
 
Huu Usafiri upo tena mwaka huu. Tar kwenda ni 22 Dec na kurudi ni 03 Jan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…