kamandawasua
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 326
- 86
Hata mimi napenda kujuwa hiloEti kuna boat zozote zinazoenda Comoros au Seychelles kutoka dar au zanzibar?
Kama zipo ni bei gani na zinaondaka dar/zanzibar wakati gani?
Ndege ya kwenda Comorros ipo tena inaruka kila siku inaitwa AB Aviation inatoka Comorro kuja Dar na kugeuka. Pia kwa Seychelles na wao ndege ipo sema yenyewe ratiba yao sijaipata fresh inaitwa Air Seychelles huwa ikija inatoka direct kwao then ikiwa inaondoka Dar inapitia Nairobi to Seychelles. Boti sina ufahamuEti kuna boat zozote zinazoenda Comoros au Seychelles kutoka dar au zanzibar?
Kama zipo ni bei gani na zinaondaka dar/zanzibar wakati gani?
Eti kuna boat zozote zinazoenda Comoros au Seychelles kutoka dar au zanzibar?
Kama zipo ni bei gani na zinaondaka dar/zanzibar wakati gani?
Safi mkuu kwa kujaziaNilisikia MV Mapinduzi walikuwa wanakamilisha vibali ili waanze safari za Comoro, sijui wamefikia wapi. Lkn pia Precision Air nao wanakwenda Comoros, nimeona kwenye Mwananchi wakiranfaza kwenda mara 3 kwa wiki , nauli ni USD 247 return ticket.
Vv