Inasemekana kuwa umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) leo wamekodi mabasi mengi ya kwenda Morogoro kupeleka vijana wengi wakiwamo wanafunzi uwanja wa Taifa kwa Mkapa kwa ajili ya jambo lao la kuhamasisha uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Uchaguzi huo unatarajia kufanyika nchini kote mwishoni mwa mwaka huu
Vijana wengi wamepakiwa kwenye mabasi ya Abood kupelekwa uwanja wa Mkapa na kusababisha uhaba wa mabasi ya kwenda Moro kwenye standing kuu ya Mbezi jijini Darisalama
Shuhuda mmoja ambaye hakutaka kutajwa jina lake aliyefika stand ya Magufuli asubuhi majira ya saa tano alisema amefika hapo Mbezi na kukuta umati mkubwa wa watu wakisubiri usafiri wa kwenda Morogoro
alisema stand ilikuwa nyeupe hakuna mabasi ya kwenda Moro kama vile kipindi cha mwisho wa mwaka cha sikukuu za Chrismass na mwaka mpya
Shuhuda huyo alipotaka kukata tiketi kwenye ma-busi hayo ya Abood waliambiwa na wahusika kuwa mabasi yao mengi leo yamekodiwa hivyo wasubiri mpaka bus likifika kutoka huko walipokodiwa ndio wataanza kupokea fedha na kuwakatia tiketi
Aliongeza kusema kuwa majira ya saa sita mchana likaingia bus moja watu walipanga foleni kugombea tiketi na kwamba ilipofika zamu yake kwenye foleni hiyo aliambiwa bus hilo limejaa asubiri lije lingine ndio wataanza tena kukatisha tiketi nyingine
Alisema alikuja kupata tiketi saa kumi jioni na kuondoka stand hapo saa kumi na nusu huku akiacha umati wa watu wakisubiria mabasi hayo ya Moro mengine yaje
Inasemekana UVCCM leo wamesomba wanafunzi wengi na mabus kuwapeleka uwanja wa Mkapa ili waweze kufanikisha jambo lao na kuonyesha jamii kuwa vijana wengi wanaunga mkono chama hicho
Watu wengi wamehoji kuwa wangefanya kongamano lao hilo siku ya shule wasingepata watu wengi kiasi hicho wamevizia mwishoni mwa wiki wanafunzi hawendi shule ndio wamesomba na mabus kuwapeleka Taifa
Ikumbukwe kuwa mmiliki wa mabus ya Abood Aziz Abood ni kada wa CCM kindakindaki na ndiye mbunge wa Morogoro mjini kupitia chama hicho
Namalizia kwa kusema Comasava UVCCM