Usafiri wa little,mbona hatuoni App yenu play store?

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
14,694
Reaction score
7,912
Kama kichwa cha habari kilivyo,tulisoma kwenye vyombo vya habari kuhusu usafiri mpya taxi ya little,lakini ukienda play store,unakuta ipo App ya little,lakini ukiidownload inakuja namba za Kenya +254....badala za Tanzania +255.Twaomba ufafanuzi kutoka kwa wahusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…