PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
"Tayari kuna mabasi [Mwendokasi] yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza kufika. Kwa njia hii ya Kimara - Mjini, sekta binafsi wataleta mabasi takriban 177 yanakuja kutoa huduma kwenye eneo hilo. Lakini pia sekta binafsi wameagiza mabasi ya kutoka Mjini- Mbagala takriban mabasi 755 ambayo yatakuja kutoa huduma kwenye eneo hilo na mwezi wa tatu mambo yatakuwa sawa." - Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali