Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
Kwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti.
Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli huu mradi ulitumika kama benchmark kwa nchi kadhaa za Afrika ambazo walidai watakuja lujifunza kwetu.
Lakini kwa hali ilivyo sasa, mradi umegeuka kuwa kituko kwa wageni. Mgeni akija Dar akafanikiwa kuutumia huu usafiri wa Mwendokasi, nadhani ndicho kituko ambacho ataondoka nacho kwenda kusimulia akirudi huko atokako.