Chuma ya Kariakoo/Kimara jioni ukiwa mgeni utadhania wanapanda bure.Usipande mwendokasi mida ya "peak hour" kuanzia saa 1-3 asubuhi na kuanzia jioni saa 10 hadi 2 usiku utajuta! Nje ya hapo full kipupwe
Na kama pia baba alikuwa mjinga hakuwawekea watoto mazingira bora ya kuridhi hizo malimaranyingi baba akifa malizake zinafirisikaga.hasa akiacha watoto wajinga.
Tangu wkt wa Magu ulishaanza kuyumbamaranyingi baba akifa malizake zinafirisikaga.hasa akiacha watoto wajinga.
Ni aibu sana!Kwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti.
Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli huu mradi ulitumika kama benchmark kwa nchi kadhaa za Afrika ambazo walidai watakuja lujifunza kwetu.
Lakini kwa hali ilivyo sasa, mradi umegeuka kuwa kituko kwa wageni. Mgeni akija Dar akafanikiwa kuutumia huu usafiri wa Mwendokasi, nadhani ndicho kituko ambacho ataondoka nacho kwenda kusimulia akirudi huko atokako.
Washakuja wageni wengi na kushsngaa hali ya huu mradi, sembuse tu Jirani yetu Zambia gari za daladala kwao hakuna kusimamisha mtu, mpaka condactor anaseat yake, Zambia mmoja alijaribu kupanda mwendokasi, alishuka kituo kilichofata akachukua bajaj na ikawa mwisho wake kupanda mwendo kasi. Ni aibu kwakqeliKwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti.
Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli huu mradi ulitumika kama benchmark kwa nchi kadhaa za Afrika ambazo walidai watakuja lujifunza kwetu.
Lakini kwa hali ilivyo sasa, mradi umegeuka kuwa kituko kwa wageni. Mgeni akija Dar akafanikiwa kuutumia huu usafiri wa Mwendokasi, nadhani ndicho kituko ambacho ataondoka nacho kwenda kusimulia akirudi huko atokako.
Kwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti.
Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli huu mradi ulitumika kama benchmark kwa nchi kadhaa za Afrika ambazo walidai watakuja lujifunza kwetu.
Lakini kwa hali ilivyo sasa, mradi umegeuka kuwa kituko kwa wageni. Mgeni akija Dar akafanikiwa kuutumia huu usafiri wa Mwendokasi, nadhani ndicho kituko ambacho ataondoka nacho kwenda kusimulia akirudi huko atokako.
Kwa hiyo unashauri watu waende makazini mchana? Na jioni wasirudi kuepuka huo usumbufu?. Usichokijua mchana unaweza subiri gari lisaa usipate usafiri. Huu usafiri ni wa kiwaki.Usipande mwendokasi mida ya "peak hour" kuanzia saa 1-3 asubuhi na kuanzia jioni saa 10 hadi 2 usiku utajuta! Nje ya hapo full kipupwe
nononononononooooooTangu wkt wa Magu ulishaanza kuyumba