Usafiri wa ndege dar hadi dodoma

Pengo

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2009
Posts
579
Reaction score
10
Wana jamii nasikia kumeanzishwa usafiri wa ndege ndogo toka dar es salaam hadi dodoma na kurudi dar es salaam.sasa kwa mwenye data zaidi naomba anifahamishe ni ndege za kamapuni gani zinazofanya safari hizo,ratiba zake kwa wiki na ikiwezekana nauli yake kwani tumechoka kupanda haya 'mashangingi' kila safari ya kwenda mjengoni na tukipanda mabasi presha juu kuhusu uharaka wa madereva.
 

heri yako wewe
 
Ni Air Zahra!
I'm not sure of the spellings, na sijui kama wamekwisha anza hizo safari!
 


acha kutukana bwana mdogo
 
Heri yenu masultan wenye kuila nchi hii.

NB: tazama avatar kwa ujumbe zaidi.
 
Air Zara Inter.wamesema itaanza safari zake next week kuelekea Dom.
Hivyo kaeni mkao wa kushangaa uwanja pale itakapo ghairi kwenda nawe ushakata ticket.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…