julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Nafikisha hili muwaokoe wanachi wa Tegeta Kivukoni. Hali ni mbaya. Sheria kama sikosei gari ikishakuwa level seat ianze safari. Abiria wengine nao wa njiani wanapata nafasi.
Kinachofanyika hapa nawapa tip hawa wanajaza watu kama matenga ya nyanya, wanajaza wanataka mpaka watu wadondoke milangoni. Latra njooni Kivukoni hapa kuna hela. Hizi faini zingeingiza mapato sana Serikalini kwa ajili ya miradi ya afya na elimu.
Waokoen abiria