Usafiri wa treni za mizigo toka Dar hadi Uganda kupitia Mwanza warejea, ndani ya masaa kadhaa mzigo umefika

Hongereni

Ila msibweteke mkizingua tutawasema tu
Shida ilikuwa ni hujuma iliyokuwa ikifanywa na wamiliki wa malori, ila kimsingi ukitumia reli inachukua siku 3 tu badala ya 10, na gharama yake ni 40% cheaper. Hayo malori wayapeleke ruti zingine, ruti ya Dar - Uganda tunaomba wawaachie TRC, hatutaki hujuma safari hii!
 
Wenye malori watashusha bei ya kusafirisha mizingo
 
Wenye malori watashusha bei ya kusafirisha mizingo
As long as hawafanyi hivyo kwa lengo la kupata hasara temporarily ili kuidhoofisha basi sawa, ila otherwise FCC wahusishwe
 
Aiseeee "" hapa jiwe anahitaji kupewa pongezi ..ijapokuwa simpendi
 
Bravo my beloved President JPM.
Bravo my beloved country TANZANIA.
 
Sijawahi safirisha mzigo kwa reli je gharama zikoje kwa aliewahi safirisha
 
Kwani hii treni ni ya mizigo tu ama na abiria na pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…