Silasuga mahinyila
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 209
- 114
Wajasiliamali Wenzangu, Kuna Mzigo Mkubwa Sana Wa Viazi Kutoka Mwanza Geita Unatakiwa Kufika Dar. Najua Wengi Ni Mashahidi Kuwa Viazi Vitamu Ni Bidhaa Adimu Dar, Vinaposhushwa Kutoka Mikoani Kila Mtaa Akina Mama Hukaanga Na Kuuza Kwa Vipande. Ni Biashara Inayo Pendwa Sana. Silasuga Mahinyila Nina Weza Kukuletea Viazi Vitamu Mfanya Biashara Wa Dar Mahara Popote Ulipo, Kwa Kuanza Mzigo Utauzwa Kwa Bei Ya Jumla Lakini Siku Zijazo Msikose Kuni PM Kupata Rejareja. Tunaweza Pia Kuingia Mkataba Wa Kuuziana Viazi Vitamu Kwa Miaka Kadhaa, Kwa Sasa Ni Kwa Ajili Ya Wakazi Wa Dar Na Maeneo Ya Jirani Kama Kibaha Na Kwingineko. Wa Mikoani Kama Bidhaa Hii Ni Adimu Mahala Ulipo Usisite Kunifahamisha. Mimi Ni Muaminifu Na Biashara Hii Tunaifanya Moja Kwa Moja Na Mkulima Kutoka Geita, Utapata Kwa Bei Utakayo Imudu. TUSHIRIKIANE KUKUZA KILIMO NA KWA PAMOJA TUBOLESHE AFYA ZA WALAJI . Aligatou Gozaimasu (ahsanteni Sana)