Usafirishaji haramu wa Binadamu huwapeleka Waathirika mbali na maeneo yao ya asili ili kuwawia vigumu kutafuta msaada

Usafirishaji haramu wa Binadamu huwapeleka Waathirika mbali na maeneo yao ya asili ili kuwawia vigumu kutafuta msaada

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Fahamu kuwa Kwenye usafirishaji haramu wa binadamu hasa ule wa kuvuka mipaka ya mkoa au nchi kumhamisha muhanga mbali na sehemu yake ya asili kuna manufaa makubwa kwa msafirishaji.

Kimsingi, hii inakusudia kumtenganisha muathirika na mazingira aliyoyazoea ambayo yangeweza kuzuia lengo la unyanyasaji na unyonyaji lisitimie.

Itakua vigumu kwa waathirika kutafuta msaada kama hawajui jiografia, lugha au utamaduni na mpangilio wa mazingira hayo mapya na hii husaidia waendelee kunyonywa. Uhamisho endelevu pia husaidiia kumkanganya muathirika na humwia vigumu kuanza kutafuta njia ya alikotooka.

Missing Child Tanzania
 
Yanayotokea baada ya hapo sasa! Sikia tu, omba yasikupate.
 
Back
Top Bottom