Usafirishaji Haramu wa Mbegu za Kiume

Usafirishaji Haramu wa Mbegu za Kiume

mkada

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,200
Reaction score
907
Doctors in the West Bank have been using IVF techniques to help dozens of Palestinian prisoners to have families, even though they are serving long sentences in Israeli jails.
They are using sperm smuggled out of prison.
The BBC's Jon Donnison visited one mother whose husband is serving 32 life sentences in an Israeli prison for his involvement in bomb attacks in Jerusalem in 1997. Swali langu ni kwamba hawa jamaa wanazitap vp au wanazipataje hizo mbegu kabla ya kuziweka kwenye kichupa na kusafirisha? PUNYETO?Wanaojua kukamua hizi mbegu bila msaada wa mwanamke kuwepo hebu mnisaidie.
 
umejijibu ni punyeto tu ila majela mengine wanaruhusu wapezi kukutana mara kwa mara .mfano icc huwaruhusu wafungwa wa the hague kukutana na wapenzi wao kama charls tayrol amepata mtoto akiwa jera na anategemea mwingine muda si mrefu.
 
Waaacha wee
 
Safi mwanzo mwisho watoto wanazaliwa na mapambano yanaendelea ....
 
Back
Top Bottom