Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Habari zenu wadau?
Ninaomba kwa anayejua njia ipi ni gharama nafuu kusafirisha kifurushi kidogo chini ya kilo moja toka Hongkong mpaka Arusha Tanzania.
Manna rafiki yangu aliyopo huko amecheck na DHL na kuoan ni cost kubwa zaidi ya dola 120 za kimarekani.
Kwa anajejua pia mpaka address ya courier agent wa bei ya chini huko Hongkong asisite kunipa contacts zake.
Natanguliza shukrani.
Mkuu ingia instagram tafuta jamaa wanaitwa Silent Ocean hao ndio mawakawa wakubwa wakuleta mizigo bongo tokea hongkong china pia ukisearch ktk goole waweza waona pia
Hebu wajaribu hawa ems (posta) wanaweza kukusaidia kusafirisha hako kamzigo ulikonako