Usafirishaji mizigo kwa meli SA-TZ

Usafirishaji mizigo kwa meli SA-TZ

Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
2,002
Reaction score
651
Kama **** shipping line kati ya South Africa na Tanzania upo?ngarama za kusafirisha pick up unacheza katika kiwango gani?crate lililobeba pikipiki inakuwaje gharama zake? Kuna agent aliyeko hapa Dar es salaam?
Kama kuna usafirishaji mizigo kwa malori ningependa kujua pia!
 
Back
Top Bottom